Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA

Letra de 'Like an Angel' de Khadja Nin - Escucha y canta en New Musicas

Varios-artistas

Trabajar y Estudiar

Varios-artistas

Nuevo Rock

Varios-artistas

Encanto

Varios-artistas

PEGAO Kings League

Artist profile picture

Like an Angel

Khadja Nin

Canciones

analiya disiwe
mume wake
ajali haina kinga
wala kafara


anaenda kijana
maladi inamushinda
ana aca bibi
na mutoto mudogo
mwanaume
analala kimya
like an angel


mbele ya kufunga maco
alimwambiya:
"bibi yangu unisamehe
ju sina mali
ya kukuaciya
mungu akulinde
like an angel"


mawa ju kijana ule
anaenda huruma
mawa oh ! maliyo !


sheria ya mungu mama
hayijulikane
ajali haina kinga
wala kafara :
"kwaheli
mpenzi wangu
wende salama
lala...like an angel
like an angel"

Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA