Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA

Letra de 'Bwana C.' de Khadja Nin - Escucha y canta en New Musica

Varios-artistas

Top Hits 2014

Varios-artistas

Reggae Latino

Varios-artistas

Previa Y Cachengue 2023

Varios-artistas

Feel Good Pop

Artist profile picture

Bwana C.

Khadja Nin

Canciones

Mayisha yangu wewe
Aca niku imbiye
Ujuwe kama
Tangu nimeku ona
Nakupenda nakupenda wewe


Hakuna duniyani
Mapendo zayidi iyi
Najuwa kama
Hayi wezekane
Nakupenda nakupenda wewe


We bwana wa ungine
Sikuwa najuwa yangu
Mapendo ya vile
Kweli nime jaribu
Kukusahabu wewe bwana
Alakini mama ... siweze


Usini one mubaya
Sinta ku ingiliya
Mapendo yangu
Ita baki inje
Nakupenda nakupenda wewe


Aca niku imbiye


Mayisha yangu wewe
Waca niji imbiye
Ata kama wewe
Huweze nipenda
Nakupenda nakupenda ...
We Bwana C.
Wewe Bwana C.
Wewe Bwana C.
Wewe Bwana C.

Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA