Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA

Letra de 'Hino da Tanzânia' de Hinos de Países - Escucha y canta en New Musica

Varios-artistas

Musica Lo Fi Para Estudiar 1

Varios-artistas

All Out 80s 90s Hits

Varios-artistas

Lofi Hip Hop

Varios-artistas

Women of Pop

Artist profile picture

Hino da Tanzânia

Hinos de Países

Canciones

Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na Amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake

Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika

Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake

Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania

Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA